Tuesday, February 21, 2017

Monday, October 31, 2016

MITIHANI MEMA NA YENYE MAFANIKIO

Tunapenda kuwatia moyo uliyojaa ushujaa katika Mitihani yenu ya mwisho kumaliza elimu ya sekondari,
1. kumbuka kumtanguliza mungu kabla ya kuanza mitihani yako.
2. Tulia na soma kwa makini maswali na uyaelewi vizuri.
3. Anza na maswali unayoyaweza na ambayo una uhakika nayo, yafanye kwa umakini.
kwa ujumla kuwa na utulivu wakati wote ondoa hofu kabisa.
katika yote hayo na kwa kumuweka mungu mbele naamini mdogo wangu utashinda na kuwa shujaa.
mwisho tuwatakie maandalizi mema kwa kwa mitihani yenu usifikirie kufeli daima fikiria na amini had sasa umefaulu kwa kishindo.
mbarikiwe  na mafanikio mema. 