Tovuti inamilikiwa na ofisi inayoitwa Tujue Tulipo Education Network (TTE-Network).
TTE-Network ni ofisi inayojishugulisha uuzaji na uzambazaji wa vitabu vya aina mbali mbali pia inamfikishia mteja bidhaa (vitabu) avitakavyo hadi alipo. Pia inasambaza stationaries na kukuletea hadi hapo ulipo.
Tovuti ya tujue tulipo ni tovuti inayofanya kazi ya kutangaza shule mbali mbali kwa malipo nafuu na pia shule itakayopata nafasi ya kutangaza nasi itapata faida ya kutangazwa pia na kwenye blog yetu na katika mitandao yetu mingine ya kijamii kama facebook page yetu, instagram. pia tuna huduma ya sms, kwa maana shule itakayo tangaza nasi watapata huduma ya kupata huduma ya ofisi kutuma sms kwa wazazi/walezi wa wanafunzi wa shule husika kwa niaba ya shule.