Maelfu ya watu wamehudhuria misa katika mji wa Charleston jimbo la South
Carolina nchini Marekani kuwakumbuka waamerika tisa weusi ambao
waliuawa kwa kupigwa risasii na jamaa mmoja mzungu walipokuwa kwenye
mafunzo kanisani.
Wakishikana mikono waombolezaji waliimba nyimbo za kujifariji. Viongozi wa wakirsto na wayahudia wametaka kuwepo amani.
Mapema mshukiwa Dylann Roof alifikishwa mahakamani akikabiliwa na mashtaka tisa ya mauaji
Mmoja wa marafiki zake Christon Scriven alisema, Roof alikuwa amesema kuwa angewaua wanafunzi katika chuo kilicho karibu lakini alitulia baada ya kuhojiwa .

No comments:
Post a Comment