Ikulu ya white house nchini marekani imetangaza kuwa rais Barack
Obama atakuwa rais wa kwanza wa Marekani aliye madarakani kufanya ziara
nchini Ethiopia.
Msemaji wake (Josh Earnest) alisema kuwa ziara hiyo itakuja baada ya ziara ambayo atafanya nchini Kenya ambapo ni nyumbani kwa babake akiwa rais wa marekani.
Ethiopia na Kenya zote zimekuwa kwenye mstari wa mbele katika vita dhidi ya kundi la Al Shabab nchini Somalia.

No comments:
Post a Comment