NACTE YAVIFUTIA USAJILI VYUO VITATU (3) NAKUVISHUSHA HADHI VYUO KUMI NA SITA (16) | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
![]() |
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
HOTUBA YA KAIMU KATIBU MTENDAJI WA BARAZA
LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE) KUHUSU TAMKO LA BARAZA LA KUVIFUTIA
USAJILI BAADHI YA VYUO NA KUVISHUSHA HADHI VINGINE - 24/06/2015
Ndugu waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari, ninayo
furaha kubwa kuwakaribisha katika ofisi za Baraza. Lengo la kuwaita
hapa leo ni kuwapa taarifa juu ya maamuzi yaliyofikiwa na Baraza ikiwa
ni katika jitihada za kuinua ubora wa elimu ya ufundi nchini.Ndugu Waandishi wa Habari Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi ni chombo kilichoanzishwa kwa Sheria ya Bunge Sura ya 129, kwa lengo la kusimamia na kuratibu taaluma zinazotolewa na taasisi na vyuo vva elimu ya ufundi nchini, ambavyo siyo vyuo vikuu au vyuo vikuu vishiriki. Jukumu kubwa la Baraza ni kuendeleza na kuinua ubora wa elimu ya ufundi nchini kwa kusimamia kikamilifu shughuli za kuendesha mafunzo ili tuzo zinazotolewa na taasisi na vyuo ziwe na ubora unaokubalika kitaifa na kimataifa. Kwa kutumia Sheria na Kanuni za Baraza za Usajili (2001) na zile za Ithibati na Utambuzi (2001), mnamo tarehe 20 Februari 2015, Baraza lilitoa notisi ya siku 30 kwa taasisi na vyuo vilivyokiuka taratibu na vyenye mapungufu makubwa ya Usajili na Ithibati kupitia taarifa yake kwa Umma. Notisi hii ililenga kuzipa taasisi na vyuo nafasi ya kujirekebisha. Baraza linakiri kuwa taasisi na vyuo vingi kama vilivyoorodheshwa kwenye Jedwali Na. 1, Jedwali Na. 3, na baadhi kwenye Jedwali Na. 5 vimechukua hatua mbalimbali za kurekebisha mapungufu yaliyojitokeza. Hata hivyo, hadi kufikia leo tarehe 24 Juni 2015 yaani siku 124 baada ya Notisi ya Baraza, kuna vyuo ambavyo havijachukua hatua yoyote ya kurekebisha mapungufu yake kama inavyooneshwa kwenye Jedwali Na. 2 na Jedwali Na. 4. Tamko la Baraza Kutokana na mapungufu hayo Baraza limeamua kuchukua hatua kwa mujibu wa Sheria na Kanuni zake kwa taasisi na vyuo vyote vilivyoorodheshwa katika Jedwali Na. 2 na Jedwali Na. 4 kwa makosa yafuatayo: a) Ama kumalizika kwa muda wa Usajili wa Awali (Preparatory Registration) na Usajili wa Muda (Provisional Registration); au b) Kutoanza mchakato wa kupata Ithibati baada ya kupata Usajili Kamili; au c) Kumalizika kwa muda wa Ithibati na kutochukua hatua ya kuomba upya Ithibati (re-affirmation); na d) Taasisi na Vyuo kuamua vyenyewe kusitisha kutoa mafunzo kwa sababu mbalimbali. Jedwali Na. 1: Taasisi na Vyuo vinavyoruhusiwa kuendelea na taratibu za Usajili baada ya kutimiza masharti
Jedwali Na. 2: Taasisi na Vyuo vilivyofutiwa Usajili na kuzuiliwa kudahili wanafunzi wapya baada ya kutotimiza masharti ya Usajili
Jedwali Na. 3: Taasisi na Vyuo vinavyoruhusiwa kuendelea na taratibu za Ithibati baada ya kutimiza masharti
Jedwali Na. 4: Taasisi na Vyuo vilivyoshushwa hadhi baada ya kutotimiza masharti ya Ithibati
Jedwali Na. 5: Taarifa kuhusu Taasisi na Vyuo vyenye maelezo maalum
IMETOLEWA NA:
OFISI YA KATIBU MTENDAJI
BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI
24 JUNI 2015 |
Monday, June 29, 2015
KWA UAMUZI HUU HONGERA NACTE.
Sunday, June 21, 2015
"MWANDISHI WA ALJAZEERA AKAMATWA UJERUMANI"
Kituo cha runinga cha Al Jazeera kinasema kuwa mmoja wa waandishi wake
wa habari amekamatwa nchini Ujerumani kufuatia ombi la Misri.
Ahmed Mansour, ambaye anafanya kazi na idhaa ya kiarabu ya al Jazeera alizuliwa alipojaribu kupanda ndege kutoka Berlin kwenda nchini Qatar.
Polisi nchini Ujerumani wanasema kuwa bwana Mansour amezuiliwa kufuatia waranti ya kimataifa ya kutaka akamatwe kutoka kwa utawala nchini Misri.
Mahakama nchini Misri ilimhukumu Mansour kifungo cha miaka 15 jela kutokana na mashtaka ya mateso.
Aljazeera imeyataja mashtaka hayo kuwa ya uongo.

"VISA VITATU (3) VYARIPOTIWA HUKO KOREA YA KUSINI"
Maafisa wa afya nchini Korea kusini wamethibitisha visa vingine vitatu vya ugonjwa wa matatizo ya kupumua au MERS.
Kati ya wale waliopatikana wakiwa na ugonjwa huo ni pamoja na daktari katika hospitali moja mjini Seoul ambaye ametajwa kuwa kitovu cha ugonjwa huo.
Wataalam wanasema kuwa visa vyote 170 vilitoka kwenye mahospitali na hakuna maambukizi yoyote katika maeneo wanakoishi watu.
Watu 25 wameaga dunia tangu mlipuko wa ugonjwa huo kuripotiwa barani Asia mwezi uliopita.

Saturday, June 20, 2015
"KUNDI LA AL - SHABAAB LAWAUWA MAAFISA 15 WA USALAMA"
Wanamgambo wamewaua karibu walinda usalama 15 nchini Somalia baada ya kufanya shambulizi katika mji ulio karibu na mji mkuu Mogadishu.
Kisha waliwavamia na kuwaua wanajeshi kadhaa.
Al Shabaab wanasema kuwa wameongeza mashambulizi siku za hivi majuzi kwa sababu ni mwezi mtukufu wa Ramadhan.
WATOTO WAONGO NI WAEREVE!!!!!!!!!!
Wanasayansi nchini Uingereza
wanasema kuwa wana ushahidi kwamba watoto wanaodanganya bila mtu
kugundua wana kumbukumbu nzuri ikilinganishwa na wale wasiodanganya.
Watafiti
katika chuo kikuu cha Sheffield kwa siri walichukua filamu ya watoto wa
umri wa miaka sita na saba wakifanya mtihani uliokuwa na majibu ambayo
yalikuwa yameandikwa nyuma ya zao.Wale waliodanganya kuhusu kile waliochofanya walifanya vyema kutokana na uwezo wao kukumbuka walichofunzwa.
Mmoja ya watafiti hao Elena Hoicka alisema kuwa sababu kuu ni kwamba wale wanaodanganya hulazimika kukumbuka ukweli wote pamoja na uwongo.
Je!wewe unamaoni gani?
"MAAFISA WA POLISI WASHAMBULIWA VIKALI HUKO BURUNDI"
Kumekuwa na msururu wa mashambulizi ya maguruneti kuwalenga maafisa wa polisi katika mji mkuu wa Burundi Bujumbura.
Maafisa wa usalama wanasema kuwa takriban polisi 11 walijeruhiwa.Maguruneti hayo yalirushwa katika maeneo ambayo yaliathiriwa na maandamano ya ghasia kufuatia hatua ya rais Pierre Nkurunziza kutaka kuwania muhula wa tatu.
Maafisa wa polisi wamewalaumu wanaharakati wa upinzani.
Makundi ya haki za kibinaadamu yanasema takriban watu sabini wameuawa na wengine 500 kujeruhiwa tangu maandamano hayo yaanze mnamo mwezi Aprili.
"OBAMA KUZURU NCHINI ETHIOPIA"
Ikulu ya white house nchini marekani imetangaza kuwa rais Barack
Obama atakuwa rais wa kwanza wa Marekani aliye madarakani kufanya ziara
nchini Ethiopia.
Msemaji wake (Josh Earnest) alisema kuwa ziara hiyo itakuja baada ya ziara ambayo atafanya nchini Kenya ambapo ni nyumbani kwa babake akiwa rais wa marekani.
Ethiopia na Kenya zote zimekuwa kwenye mstari wa mbele katika vita dhidi ya kundi la Al Shabab nchini Somalia.

"MISA YA WALIOUWAWA YAFANYIKA CHARLESTON"
Maelfu ya watu wamehudhuria misa katika mji wa Charleston jimbo la South
Carolina nchini Marekani kuwakumbuka waamerika tisa weusi ambao
waliuawa kwa kupigwa risasii na jamaa mmoja mzungu walipokuwa kwenye
mafunzo kanisani.
Wakishikana mikono waombolezaji waliimba nyimbo za kujifariji. Viongozi wa wakirsto na wayahudia wametaka kuwepo amani.
Mapema mshukiwa Dylann Roof alifikishwa mahakamani akikabiliwa na mashtaka tisa ya mauaji
Mmoja wa marafiki zake Christon Scriven alisema, Roof alikuwa amesema kuwa angewaua wanafunzi katika chuo kilicho karibu lakini alitulia baada ya kuhojiwa .

Mshirikishe mwenzako
WAUWAWA KATIKA DUKA LA POMBE MEXICO
Watu waliokuwa na silaha wamevamia duka moja la pombe nchini Mexico ambapo watu 10 waliuawa.
Wavamizi
hao waliwasili kwa magari mawili na kuwafyatulia risasi wateja
waliokuwa ndani ya duka hilo katika mji ulio kaskazini wa Garcia.Kisha miili yao ilivuliwa nguo na kuporwa.Wachunguzi wanadai kuwa wanaume hao walikuwa wamelengwa makusudi na mauaji hayo huenda yanahusiana na tofauti kati ya makundi hasimu.
'KOMESHA MAUAJI YA ALBINO TANZANIA'
Je!!wana Damu tofauti na yako!!!!!,Hapana'wanayo kama yako.na wanamchango mzuuri kwa Taifa letu.KWA PAMOJA 'TOKOMEZA MAUAJI HAYA'
KENYAN SECURITY FORCES BELIEVE ABOUT 100 BRITISH NATIONALS HAVE JOINED AL-SHABAB!!!!!!.
Thomas Evans, 25, from Buckinghamshire, died in the thwarted attack on a military base on 14 June.
Police now say he was also the group's cameraman, and captured images of the incident up until his death.
Kenyan security forces killed 11 gunmen and two soldiers died after the raid in Lamu County, near the Somali border.
Al-Shabab, an al-Qaeda affiliate based in Somalia, has been behind a series of high-profile attacks including the Westgate shopping centre siege in Nairobi in 2013, and a violent assault on a university earlier this year in which nearly 150 people were killed.

HABARI ZA HIVI PUNDE!
Maelfu ya watu wamehudhuria misa ya waamerika 9weusi waliopingwa risasi,katika jimbo la South Carolina.
Friday, June 19, 2015
'RAIS OBAMA AKERWA NAMAUWAJI MAREKANI'
Rais Barak Obama amesema mauaji ya
watu tisa ndani ya Kanisa la Waafrika Wamarekani katika eneo la
Charleston katika jimbo la Carolina Kusini yanaibua maswali kuhusu
sehemu mbaya ya historia ya Marekani.
Katika hotuba yake
iliyoonyeshwa katika televisheni muda mfupi baada ya polisi kumkamata
mtuhumiwa ambaye ni kijana wa kizungu-- Bwana Obama amesema chuki
miongoni mwa jamii kwa misingi ya rangi na imani ni kitisho kwa
demokrasia ya Marekani na misingi yake.Amesema mauaji ya watu wengi hayatokei kwa kiasi hiki katika nchi nyingine zilizoendelea, na ametaka kufanyika kwa mabadiliko ya pamoja katika fikra za Wamarekani kuhusu ghasia zinazosababishwa na matumizi ya silaha.
Wednesday, June 17, 2015
MH.RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIWAPA HOTUBA NA NASAHA WANAFUNZI KATIKA ZIARA YAKE YA MWISHO HIVI KARIBUNI
Raisi Kikwete akiwaasa wanafunzi Kuwa makini zaidi katika Elimu,na hususani katika masomo ya Sayansi Mazingira.
JENGO LA SHULE MKOANI KILIMANJARO LIKIWA LIMEKAMILIKA TAYARI KWAKUTUMIKA.
PICHA YA JENGO LA SHULE LIKIWA JIPYA TAYARI KUANZA KUTUMIKA KATIKA MPANGO WA MATOKEO MAKUBWA SASA_Mkoa Kilimanjaro.
Subscribe to:
Posts (Atom)